Loading...

MAHABA YA SNURA AWAPO SITA KWA SITA YATISHIA KUVUNJA KITANDA!!!!

UNAWEZA KUTUTUMIA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0787572019, HABARI ZENYE UHAKIKA PEKEE NASI TUTAZIFANYIA KAZI. ENDELEA KUHABARIKA NA MTANDAO WETU.
Staa wa kike anayetikisa kwenye tasnia ya filamu na muziki, Snura Mushi a.k.a Majanga anadaiwa kuwa ni mmoja wa mastaa wa kike wenye ujuzi mkubwa kimahaba kiasi cha kuwapagawisha mno wanaume anaokuwa nao katika mahusiano.....
Snura
Chanzo chetu cha habari ambacho kiko karibu na staa huyo kilieleza kuwa Snura huwa na tabia ya kupandisha mzuka wa jukwaani awapo kwenye sita kwa sita na wakati mwingine huweza hata kuvunja kitanda endapo akiamua kufanya hivyo.....

"Unajua Snura anaasili ya kizaramo, Amefundwa kila aina ya mafunzo ya kuwa na mwanaume.Mimi ni rafiki yangu kwa kipindi kirefu, yaani tokea niwe karibu naye wanaume aliowahi kuwa nao wamemsifu kuwa anaweza mambo tena si kitoto", Kilieleza chanzo hicho

Inadaiwa kwamba asilimia kubwa ya mastaa wa kike huwa hawapendi kujishughulisha wawapo faragha kutokana na ustaa wao, lakini taarifa za Snura zimekuwa tofauti....

Mwandishi wetu alimtafuta Snura ambaye baada ya kumuuliza aliangua kicheko:

"Sasa utamu wa ngoma si ni lazima uicheze? Huwezi kujua hivi hivi.Hayo mambo ni mazito sana naona kwangu ni ngumu kuyazungumzia kwa sababu najiandaa kuolewa. Ila kwa mwanamke hasa wa taipu yangu ni lazima ujue kumpetipeti mume.

"Hilo halinipi shida sana sababu nimekamilika kila idara.Mbele ya watu kibao shughuli inakuwa pevu jukwaani sembuse chumbani wawili tu?" Alisema staa huyo aliyefunika Tanzania na ngoma yake ya "Nimevurugwa na Majanga"

Source: bongo Crew
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
Facebook Blogger Plugin by Lindi Yetu

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright Baddest Beats | Designed By LindiYetu
Back To Top