[Intro]
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)

OG! (Nahreel On A Beat!)
[Hook]
Uongo utakupa ushindi, wa siku moja
Ukweli unaishi milele, moja kwa moja
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I keep it one hundred eh (I’mma keep it OG)

[Verse 1]
Hawa machizi wanakunywa na wewe Sunday
Hawa machizi wanaku-snitch Monday
Na snitch akishikwa basi apigwe Monday
Wara Wara sivujishi, mpaka polisi wasande
Mchizi wa kweli ha-snitch, goma mpaka rumande
[Bridge]
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
Original, orijinale
[Verse 2]
Mkono kwa pesa inalipa eh?
Vipi ujenzi wa taifa? enhee
Na huu si ni mziki wa kizazi kipya? eh
Kitaani vipaji vinakufa, aichi!
Let’s keep it real, sisi wote ni Hip Hop, yap!
Let’s keep it real, wote tunataka hela, yap!
Let’s keep it real, wote tuna familia, yep!
Let’s keep it real, hamjui kutengeneza hela, chap chap!
Kama hutaki kuwa on top, jamaa
Basi lazima wewe ni whack, uh jamaa
Damn it!
[Hook]
Uongo utakupa ushindi wa siku moja
Ukweli unaishi milele moja kwa moja
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I keep it one hundred eh (I’mma keep it OG)
I keep it one hundred eh (I’mma keep it OG)
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I keep it one hundred eh (I’mma keep it OG)
I keep it one hundred eh (I’mma keep it OG)
[Verse 3]
Atakuazima chumvi akutangaze kitaa kizima
Akikuazima mboga si kitanuka hii Dar nzima
Najua waona simu yangu, mbona hupokei?
Sikupigi kizinga hommie, nataka ku-survive
Subiri nipige mabovu, ntabonga na secretary
Level chafu, level za kibepari
[Bridge]
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
Original, orijinale
[Verse 4]
Ku-fake ni kama kujichubua, lazima mnajijua
Kama jua kuchomoza, na jua kutua
Na navojua watu wakikua wanakuwa na busara
Ona mmekua, mmekua mmekuwa mafala
Mi nawajua personal, ni wapishi wa maneno
Msoweza kula, wagumu nje
Ndani wauza sura
Huruma punje, muda wangu wa mulla
Tukikutana mwakenua meno, eh!
Mi sio daktari wa meno, ehee
Kimeno meno
[Hook]
Uongo utakupa ushindi wa siku moja
Ukweli unaishi milele moja kwa moja
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I keep it one hundred eh (I’mma keep it OG)
I keep it one hundred eh (I’mma keep it OG)
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I’mma keep it real eh (I’mma keep it OG)
I keep it one hundred eh (I’mma keep it OG)
I keep it one hundred eh (I’mma keep it OG)
Facebook Blogger Plugin by Lindi Yetu